GET /api/v0.1/hansard/entries/1001071/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1001071,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1001071/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Endebess, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Robert Pukose",
    "speaker": {
        "id": 1458,
        "legal_name": "Robert Pukose",
        "slug": "robert-pukose"
    },
    "content": "Tuhakikishe kwamba kila mtu ambaye ameathirika anaweza kushughulikiwa vilivyo. Ninajua watu watajaribu kusema pengine tupeane pesa, wengine wanaweza kuchukua pesa hizo na wakafanyia jambo ambalo sio sawa. Wanaweza kutumia hizo pesa kwa kununua pombe. Wengine watachukua hizo pesa na zisifikie watoto na akina mama. Kwa hivyo, tunapopeana hiki chakula, ni lazima tuhakikishe ya kwamba kinafikia wale ambao wameathiriwa kweli. Kwa hivyo, Mhe. Koinange, ningependa kuomba muhakikishe ya kwamba wale wanaohusika na kupeana The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}