GET /api/v0.1/hansard/entries/1002237/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1002237,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1002237/?format=api",
    "text_counter": 59,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Upande wangu wa kushoto yuko ndugu yangu, Sen. (Eng.) Mahamud, ambaye ninamheshimu sana. Kwa bahati nzuri au mbaya, sijui kama leo amekosea au amepotea nji. Sisi tunaona kwa heshima kuu Sen. (Eng.) Mahamud ameketi asipotakikana kuketi kila siku. Kama hakuna nafasi upande ule, hata wewe unaona kuwa upande huu hauna hata mmoja aliyechukua nafasi ya upande ule. Lakini upande ule una mmoja wao ambaye ni ndugu yangu, Sen. (Eng.) Mahamud."
}