GET /api/v0.1/hansard/entries/1002320/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1002320,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1002320/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, kwanza naunga mkono hii Petition . Kuna maswali fulani ambayo lazima yaulizwe. Wizara ya Ardhi imezembea katika kazi yake. Kwa mara nyingine tena, maovu yamechipuka. Tunafahamu kwamba uchumi wa Kenya unategemea sana ardhi ama mashamba. Biashara zote zinazohusiana na mambo ya ardhi zimesimama. Watu wa kuuza na kununua nyumba na mashamba hawawezi kufanya chochote."
}