GET /api/v0.1/hansard/entries/1002715/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1002715,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1002715/?format=api",
"text_counter": 537,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, nataka kumwambia mwenzangu nimemskiza kwa makini na Mswahili anasema, kwa nini kuandika na mate na wino ipo? Tayari ametuambia mapendekezo ya vile ndugu zetu ambao tungependa kusikia maoni yao kutoka Kirinyaga, vile walivyosema. Wanasema wangetaka twende jumla, inamaanisha ya kwamba, badala ya kamati, Seneti nzima ikae na kuwasikiza. Badala ya kupoteza muda zaidi na mwenyewe amesema, mimi ninakubaliana na yeye twende vile walivyosema wenye maneno, plenary."
}