GET /api/v0.1/hansard/entries/1003078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1003078,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1003078/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bura, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Wario",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Spika. Nachukua fursa hii pia kumshukuru Mheshimiwa. Kama Wenyeviti, tuna matatizo. Uliyazungumzia hapo mbeleni, Mhe. Spika. Tunapewa taarifa na tunakuja kusoma taarifa ndani ya Chumba. Ili tuweze kutatua, nitaalika Wizara husika wiki ijayo siku ya Jumatano. Namualika ndugu yangu na Mheshimiwa ili tujue mbivu na mbichi pamoja. Asante, Mhe. Spika."
}