GET /api/v0.1/hansard/entries/1003837/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1003837,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1003837/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "zao, ina maana kwamba sisi tutakuwa tunaishi kama masquatter kwa muda mrefu ambao utakuwa na malengo ya Katiba mpya hayataweza kufikiwa. Naunga mkono Taarifa hii na ile Kamati husika ihakikishe kwamba swala hili linafuatiliwa kwa haraka ili watu wasije wakapoteza makaazi, kama vile wamepoteza huko Kariobangi na kwingineko."
}