GET /api/v0.1/hansard/entries/1005387/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1005387,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1005387/?format=api",
"text_counter": 323,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Naibu Spika, nilitarajia kwamba wakati tulipata serikali za ugatuzi, serikali hizi zingekuwa mbele katika kuhakikisha ya kwamba leseni ambazo zinapewa wale wanaokuja kutafuta madini yale, zitapewa nafasi ya kwanza wananchi wanaokaa katika maeneo yale lakini yote yamekuwa ni ndoto kwa sababu wengi wanaopata leseni hizi huzipatia hapa Nairobi na wakienda katika kaunti zetu, wengi wao huwa wa shirika au wandani wa magavana na wakubwa wengine katika kaunti zile hivyo rasilimali zinakwenda kwa wachache wengi wakiendelea kudhalilika na kupata shida."
}