GET /api/v0.1/hansard/entries/1005388/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1005388,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1005388/?format=api",
    "text_counter": 324,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Swala hili limeangaziwa pia katika katiba. Katika Kifungu cha 66, kinachozungumzia matumizi ya ardhi na rasilimali. Kifungo hicho kinapeana mwongozo wa matumizi ya ardhi au chochote kilichoko katika ardhi ile kwa masuala ya usalama, usalama wa uma, ‘ public order’, ‘public morality’, ‘public health’ na vile matumizi ya ardhi ile. Imesemekana hapa kwamba Bunge litaweka sheria ya kuhakikisha kwamba uwekezaji katika mali kama hizi zinafaidisha wakaazi au wenyeji na uchumi wao katika maeneo yale."
}