GET /api/v0.1/hansard/entries/1005389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1005389,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1005389/?format=api",
    "text_counter": 325,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, Bunge ilikuwa itowe sheria kuhakikisha kwamba rasilimali kama hizi; dhahabu, bahari na madini yeyote mengine ambayo yako, yatakuwa yanafaidisha jamii zilizoko sehemu zile pamoja na uchumi wao. Wakati huu, watu wa Kaunti ya Nandi, Migiori na Taita Taveta wanalalamika. Zamani, wakati Hayati Mzee Jomo Kenyatta alipotembea Taita, aliwaambia Wataita ambao ni shemeji zake Seneta wa"
}