GET /api/v0.1/hansard/entries/1005391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1005391,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1005391/?format=api",
"text_counter": 327,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kaunti ya Nairobi, Sen. Sakaja, kwamba Wataita wamekalia uchumi. Wakati huo, alimaanisha kwamba kuna madini mengi katika eneo la Taita ambazo Wataita hawajaweza kutafuta na kuhakikisha kwamba yanasaidia uchumi wa eneo hilo."
}