GET /api/v0.1/hansard/entries/1005734/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1005734,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1005734/?format=api",
    "text_counter": 211,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia ripoti hii. Kwanza kabisa, nawapongeza wawakilishi wa bunge ya Kaunti ya Kirinyaga kwa ujasiri wao wa kuleta mashtaka hapa Seneti pamoja na walivyoendesha mashtaka mbele ya Kamati Maalum iliyokuwa inashughulikia swala hilo. Wawakilishi wa Bunge la Kaunti ya Kirinyaga walionyesha kwamba nia yao haikuwa tu kumwondoa Gavana bali wanataka kuona marekebisho fulani katika kaunti yao. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}