GET /api/v0.1/hansard/entries/1005736/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1005736,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1005736/?format=api",
    "text_counter": 213,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Masomo ambayo tunasoma hapa ni kwamba si makosa yote yanaweza kusababisha gavana kuachishwa kazi. Ni kama vile si makosa yote yanaweza kusababisha kuwe na talaka. Ni jukumu letu kama Seneti kukubalina na mapendekezo ya Kamati hii. Ninaomba Kamati ya Ugatuzi itekeleze mapendekezo ya Kamati hii. Vilevile Kamati ya Uhasibu yaani County Public Accounts and Investments"
}