GET /api/v0.1/hansard/entries/1005739/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1005739,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1005739/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Wakati huu ni msimu wa kuwafurusha magavana. Ni wajibu wetu kama Seneti kuhakiksiha kwamba hatuathiriwi na mambo yanayozungumzwa nje ya Bunge. Tuangalie ushahidi ambao utaletwa mbele yetu au mbele ya Kamati kuhakikisha kwamba tunatenda haki katika maswala kama haya."
}