GET /api/v0.1/hansard/entries/1006974/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1006974,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1006974/?format=api",
    "text_counter": 466,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kapenguria, JP",
    "speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
    "speaker": {
        "id": 318,
        "legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
        "slug": "samuel-moroto"
    },
    "content": " Ahsante. Kumekua na mateso. Wakati mmoja, Kshs3 millioni peke yake ililetwa West Pokot kwa jumla – na sio Kapenguria peke yake - itumike kwa miradi ya maji ukifahamu vile eneo hilo lilikuwa. Lakina kuna sehemu nyingine watu walikuwa wanafurahia hata wengine hawakujua mahali pa kutumia pesa walizotengewa. Lakini sehemu ambazo zilikuwa na mahitaji zilikuwa zinanyimwa pesa."
}