GET /api/v0.1/hansard/entries/1006976/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1006976,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1006976/?format=api",
    "text_counter": 468,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kapenguria, JP",
    "speaker_title": "Hon. Samuel Moroto",
    "speaker": {
        "id": 318,
        "legal_name": "Samuel Chumel Moroto",
        "slug": "samuel-moroto"
    },
    "content": "Wengine wetu tumekuwa hapa kwa muda mrefu. Nimeona ile michango ambayo watu wanatia hapa. Mimi ni mtu wa chama cha “baba” na “mama” tangu mwanzo. Lakini hivi juzi, nikajiunga na chama cha Jubilee. Kuna wale waliokuwa wakipiga kelele lakini, ambao sasa wameingia na wakaambiwa waonje supu peke yake – hata hawajakula ugali – lakini wameanza kupiga domo kubwa. Tutararua na kufunga midomo yenu. Wakenya wanaangalia. Tumesema kwamba siasa ya kuwagawanya wananchi ikomemeshwe. Wacha tuje pamoja tuipeleke Kenya mbele pamoja. Sasa mmeingia na kuanza kuleta mchezo."
}