GET /api/v0.1/hansard/entries/1008367/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1008367,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1008367/?format=api",
    "text_counter": 325,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii pia mimi niunge mkono Mswada huu ambao utaleta sheria ya kusimamia wakimbizi wa nje. Kenya ikiwa moja ya nchi za Umoja wa Mataifa na ikiwa imeweka sahihi kwenye mikataba ya kusimamia masuala ya wakimbizi wa nje, wakati umewadia hata sisi pia tuweke sheria ambazo zinaambatana na mujibu wa mikataba ambayo imetolewa na Umoja wa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}