GET /api/v0.1/hansard/entries/1009553/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1009553,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1009553/?format=api",
    "text_counter": 250,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Changamwe, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Omar Mwinyi",
    "speaker": {
        "id": 1345,
        "legal_name": "Omar Mwinyi Shimbwa",
        "slug": "omar-mwinyi-shimbwa"
    },
    "content": " Nashukuru, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Jambo muhimu katika Mswada huu ni kwamba wakati mtu anapofikwa na maafa anahitaji msaada. Ikiwa atafikiwa kwa kuchelewa, itakuwa hakuna faida sana. Kwa hivyo, namshukuru sana ndugu yangu Mhe. Kimani Ichung’wah kwa sababu tuna matatizo mengi. Saa hii, kwangu kumechomeka nyumba nne na hakuna mtu anayeangaliwa isipokuwa Mhe. Mbunge. Kwa Hivyo, hili ni jambo muhimu sana. Pengine hata moto ambao hutokea mara kwa mara kule Kariako utaweza kuzuiwa kwa sababu hali hiyo itakuwa inaangaziwa. Utafiti utakua umefanywa kubainisha ni sababu gani mambo hayo hutokea. Vile vile, ningeomba…"
}