GET /api/v0.1/hansard/entries/1011356/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011356,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011356/?format=api",
    "text_counter": 362,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Nimefurahia sana Mswada huu ambao utasaidia Kenya nzima. Unalenga mambo mengi kama moto, na mafuriko, hata kule kwetu kwenye bahari. Ningependa kiwango fulani cha mgao kutoka Serikali kuu kiwekwe hapo kama asilimia 10 au 20. Itasaidia Kenya pakubwa na tutasonga mbele kimaendeleo."
}