GET /api/v0.1/hansard/entries/1011357/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1011357,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011357/?format=api",
"text_counter": 363,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Kwa hakika, kuna majanga ambayo hutokea baada ya muda na bado hatujitayarishi wala kusoma. Kwa mfano, mafuriko. Tunajua miezi fulani huwa na mafuriko lakini huwa hatujitayarishi. Kuna sehemu za Lamu tunajua miezi fulani bahari inakua chafu sana na majanga hutokea hata tsunami. Maji hupanda hadi kwa nyumba za watu. Tunajua linajiregelea lakini huwa hatujitayarishi. Mswada huu utatoa suluhisho kwa majanga kama hayo."
}