GET /api/v0.1/hansard/entries/1011359/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1011359,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011359/?format=api",
"text_counter": 365,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Mafuriko na majanga mengine pia yako kwa Kaunti ya Lamu. Hata janga la ugaidi lipo. Watu wanahamishwa makwao haswa Wadi ya Basubwa lakini inajirejerea. Tunashukuru Mwenyezi Mungu iko vizuri wakati huu."
}