GET /api/v0.1/hansard/entries/1011361/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011361,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011361/?format=api",
    "text_counter": 367,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Ukame pia upo. Haya majanga yako mengi na yanajirejerea na huwa kama aibu. Ni kitu ambacho kinarejelea na tunajua hatuchukui hatua yoyote. Kwa hivyo, Mswada huu utasaidia pakubwa na tunaunga mkono sana, angalau watu wetu wapate kusaidika."
}