GET /api/v0.1/hansard/entries/1011477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011477,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011477/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, Nashukuru kwa kunipa fursa hii niulize tu kwa hoja ya nidhamu hata ijapokuwa amemaliza. Nilitaka kujua, Kamati ile ina Maseneta wengi lakini inaonekana ya kwamba yeye anafuatilia vizuri ile gender rule. Nimesikia ya kwamba ni Sen. Farhiya na Sen. Omanga ambao wanafuatilia muda vizuri. Kwa hivyo, inaonekana ya kwamba wale wengine wamezembea katika kazi yao, na ndio tulikuwa na jukumu kubwa kupitisha hii formula---"
}