GET /api/v0.1/hansard/entries/1011606/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011606,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011606/?format=api",
    "text_counter": 223,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Ninapendekeza sasa hivi kwamba Mswada huu usomwe kwa Mara ya Tatu. Samahani kidogo, bado tunasoma hii kazi. Ninapendekeza ramsi kwamba Seneti hii ikubaliane na ripoti ya Kamati. Tutaweka swali baadaye. Nimekanganyika kidogo, lakini ni sawa tuu."
}