GET /api/v0.1/hansard/entries/1011615/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1011615,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011615/?format=api",
"text_counter": 232,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Namuona Sen. (Rev.) Waqo, Sen. Cherargei, na pia Sen. Zawadi. Sijui ni nani angependa kuzungumza wa kwanza. Kwa sababu nimeambiwa kuwa hakuna watu wako tayari kuchangia, ninapendekeza rasmi kwamba Mswada The Sectional Properties Bill (National AssemblyBills No. 23 of 2019) usomwe kwa Mara ya Tatu. Nafikiri kuwa tuko na idadi ya kutosha kupiga kura. Tupige Kengele kwa dakika moja."
}