GET /api/v0.1/hansard/entries/1011641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011641,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011641/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaura",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": " Waheshimiwa, nadhani tumemaliza kupiga kura. Naomba radhi kwa wale ambao mlikuwa na Miswada ambayo tulikuwa tunataka kupitisha katika Kamati Nzima ya Bunge hili kwamba kwa sababu ya muda, tulikuwa hatujamaliza kauli rasmi. Sasa nitampa nafasi Sen. Aaron Cheruiyot."
}