GET /api/v0.1/hansard/entries/1011715/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011715,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011715/?format=api",
    "text_counter": 332,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Mazingira na Mali Asili kwa umahiri wako. Ni ajabu sana kuona kuwa hiyo kazi yote inafanywa na Maseneta ilhali pia wanawashughulikia wananchi kwa kazi za kila siku. Sasa hivi nampa fursa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Uwiano wa Kitaifa, Usawa wa Fursa na Ujumuishwaji wa Kimaeneo, Sen. Shiyonga. Utatupatia Ripoti rasmi ya Kamati. ACTIVITIES OF THE STANDING COMMITTEE ON NATIONAL COHESION, EQUAL OPPORTUNITY AND REGIONAL INTEGRATION"
}