GET /api/v0.1/hansard/entries/1011727/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1011727,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011727/?format=api",
"text_counter": 344,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana kwa ripoti hiyo ambayo imetuonyesha kazi nzuri mnayofanya, hususan kuhusa maswala ya watu walio na ulemavu. Ikumbukwe kwamba Kamati hiyo imeongozwa na kina mama wawili walio shupavu. Hongera sana, Sen. Shiyonga. Tunatumai kwamba mtaendelea kuwa na nafasi ya kusawazisha fursa kwa watu wote ambao wamenyanyapaliwa katika jamii."
}