GET /api/v0.1/hansard/entries/1011903/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011903,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011903/?format=api",
    "text_counter": 42,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ningependa kuchangia Taarifa ambayo imeletwa na Seneta wa Bomet. Inaonekana kwamba miradi mingi anaanzishwa pasi kumalizwa katika nchi yetu ya Kenya. Ni kama hakuna haja ya kuwa na miradi mingine. Si barabara na daraja pekee."
}