GET /api/v0.1/hansard/entries/1011904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011904,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011904/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Kule Laikipia, kuna barabara ya kutoka Naromoru kupitia Kihato, kuelekea Makutano. Hakuna kazi inayofanyika kwa barabara hiyo ambayo imekuwa ikijengwa kwa muda mrefu. Ukiuliza utaambiwa kuwa aliyepewa kandarasi alilipwa ilhali hakuna kazi inayoendelea. Wengine wanafanya kazi kiholela."
}