GET /api/v0.1/hansard/entries/1011905/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1011905,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011905/?format=api",
"text_counter": 44,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Kamati itakayopewa jukumu hili inafaa kuangalia swala hili kwa mapana na marefu. Waziri wa Barabara na Miundomsingi anafaa kuitwa hapa ili atuelezee kinachoendelea kwa sababu mambo ya barabara na daraja yamekuwa kizungumkuti. Daraja zinajengwa na kusombwa na mafuriko wakati wa mvua."
}