GET /api/v0.1/hansard/entries/1011906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1011906,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1011906/?format=api",
    "text_counter": 45,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Barabara na mabwawa si mkate ambao mtu anaweza kula kisha aweke karatasi kwa mfuko. Inapaswa maneno haya yaangaliwe vizuri. Barabara na hata mabwawa ya maji yakianza kujengwa, inafaa watu wajue muda yatakayochukua. Wanaopewa kandarasi hawafai kutoweka baada ya kulipwa."
}