GET /api/v0.1/hansard/entries/1012142/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1012142,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1012142/?format=api",
    "text_counter": 281,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi Naibu Spika, nimemskia dadangu akisema kwamba elimu katika shule za msingi ni bure. Mimi nashanga kama sisi wengine tunafanya makosa kwa kulipa. Naomba afafanue ni shule gani ambayo watoto wetu walioambiwa warudi katika darasa la nne, tano ama sita--- Ni wapi, ili tujue?"
}