GET /api/v0.1/hansard/entries/1012162/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1012162,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1012162/?format=api",
    "text_counter": 301,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kwanza, ninamshukuru sana huyu ndugu yangu, Seneta wa Nandi kwa sababu ijapokuwa umri wake ni mdogo lakini ni Seneta mshupavu. Ni Seneta kijana ambaye amekomaa kabisa. Matamshi ninayosema hapa siku zote huwa ni mambo ya kumsifu. Jambo la elimu ni muhimu sana. Kwanza lazima tujiulize maswali. Rais mwenyewe aliwauliza Wakenya---"
}