GET /api/v0.1/hansard/entries/1012171/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1012171,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1012171/?format=api",
"text_counter": 310,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "katika hayo mashule ambayo watoto wetu watarudi na wapate madawati ya kisawa sawa, waweze kukaa na kuwe na social distancing? Ni elimu gani Serikali imeweza kuwafanyia hawa watoto wetu kuona ya kwamba mara tu wakirudi shule wameweza kuzingatia mambo ya kuweza kujitenganisha na kuweza kusoma wakiwa ndani ya darasa."
}