GET /api/v0.1/hansard/entries/1012213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1012213,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1012213/?format=api",
"text_counter": 352,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Huo ni ukweli. Ni jambo la kusikitisha kuongeza mishahara wa madaktari na kuwanyima wahudumu wa afya ilhali wao hufanya kazi pamoja. Vile vile, kuna wale wanaofagia na kusafisha wodi. Ni lazima wale wanaofanya kazi katika vituo vya afya wawe na vifaa wanavyohitaji."
}