GET /api/v0.1/hansard/entries/1012757/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1012757,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1012757/?format=api",
    "text_counter": 38,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura)",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, nasimama kutokana na Kanuni za Bunge Nambari 48(1) kuomba Kauli Rasmi kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Afya kuhusu utekelezaji wa sheria ya washauri na wanasaikolojia ya 2014. Katika Kauli hiyo, Kamati inafaa kujibu na kuelezea- Kwanza, kwa nini sheria hii ya washauri na wanasaikolojia ya 2014 haijawahi kutekelezwa. Pili, kuelezea mikakati au hatua ambazo zimepigwa ili kuteua bodi ya washauri na wanasaikolojia na ni kina nani wanafaa kuteuliwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}