GET /api/v0.1/hansard/entries/1012999/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1012999,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1012999/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana Seneta wa Busia, Sen. Wako. Alikuwa Mkuu wa Sheria nchini. Nakumbuka nilipokuwa darasa la pili Sen. Wako alikuja katika shule yetu, akatangamana na waalimu na kunitunuku zawadi kwa kuwa mwanafunzi bora shuleni. Sasa hivi nampa fursa Seneta wa Makueni, wakili Sen. Mutula Kilonzo Jnr."
}