GET /api/v0.1/hansard/entries/1013011/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1013011,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013011/?format=api",
"text_counter": 292,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. Mutula Kilonzo Jnr. Ile hoja unasisitiza ni kwamba Tume ya Waalimu iliweza kuzingatiwa katika Katiba kwa sababu ya Chama cha Walimu cha KNUT, lakini sasa hivi hiyo Tume ndiyo inamaliza hicho chama. Ni kama kumuua mama yako. Ni jambo la kufedhehessha sana. Mheshimiwa Seneta wa Trans Nzoia, Sen. (Dr.) Mbito."
}