GET /api/v0.1/hansard/entries/1013052/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1013052,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013052/?format=api",
    "text_counter": 333,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Waheshimiwa Maseneta, sasa hivi ni Saa Kumi na Mbili Unusu, wakati wa kusitisha Kikao hiki cha Bunge la Seneti. Kikao hiki cha Bunge la Seneti sasa kimehairishwa mpaka kesho Jumatano, Tarehe Saba Mwezi wa Oktoba, 2020 Saa Nane Unusu."
}