GET /api/v0.1/hansard/entries/1013597/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1013597,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013597/?format=api",
    "text_counter": 10,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, je, ni haki kwa msomi kama Sen. (Dr.) Langat kukosa kuingia hapa kama umeketi bila kutoa heshima kuambatana na kanuni za Bunge hili. Anatakikana ainamishe shingo lake mbele yako ili kuonyesha heshima kwa Seneti na kwa wewe kama Spika wa kikao cha Bunge hili. Yeye amepita kiholela kama anayeenda Soko la Marikiti. Ni heshima gani hii? Tunataka utoe uamuzi kuhusu kitendo chake ambacho si cha heshima."
}