GET /api/v0.1/hansard/entries/1013628/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1013628,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013628/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, hatuna tume ya kitaifa inayoshughulikia mizozo ya mipaka. Njia pekee ya kuweza kutatua na kusuluhisha mizozo kama hii ni kupitia kwa Bunge la Seneti. Naomba kwamba katika uelekezi wako, uhakikishe kwamba kamati husika iangalie swala hili kwa haraka na kuweza kutoa mwongozo ili matatizo kama haya yasiweze kuendelea katika sehemu zingine katika Jamhuri yetu ya Kenya."
}