GET /api/v0.1/hansard/entries/1013730/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1013730,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013730/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. (Dr.) Musuruve. Waheshimiwa Maseneta, kwa sababu bado kuna wengi ambao wangependa kuzungumzia Hoja hii, naomba tupunguze muda. Najua kwamba kila mtu anaweza kuzungumza kwa dakika 20, lakini ili tuweze kumpa kila mtu nafasi, naomba tuzungumze kwa dakika tano kwa sababu hii sio kura ya maamuzi bali ni ushawishi wa kuongeza muda. Kwa wakati huu nampa Naibu wa Spika, Sen. (Prof.) Kamar."
}