GET /api/v0.1/hansard/entries/1013778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1013778,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013778/?format=api",
"text_counter": 191,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. (Dr.) Zani. Wewe umetoka katika familia ambayo ina waandishi wakuu wa lugha ya Kiswahili. Kwa sababu hiyo, ninakuomba uwe na uzoefu wa kuzungumza lugha hii unapochangia hapa Bungeni, ingawa nafikiri kulikuwa na mchakato mkali sana hapa Bungeni kuhusu neno “mzungumzishi.” Hata hivyo, nawasihi tuwe na uzoefu wa kutumia lugha hii. Wengine wetu tulipokuwa katika shule za msingi tulifundishwa Kiswahili na Bw. Zacharia Zani and Bi. Teresia Zani. Tuendelee kutukuza lugha hii katika Bunge la Seneti. Sasa hivi nampa fursa Sen. Chebeni. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}