GET /api/v0.1/hansard/entries/1013796/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1013796,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013796/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante Sana, Sen. Olekina, kwa mchango wako mzuri lakini ningependa kukumbusha kwamba kila kitu kina bei, kwa hivyo ni vyema kujiangazia kama Seneti. Sioni Seneta yeyote anayetaka kuchangia Hoja hii, hivyo namwalika Sen. Kasanga ambaye ni mwenyekiti wa Kamati maalum inayoangazia maswala ya COVID- 19 kujibu."
}