GET /api/v0.1/hansard/entries/1013901/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1013901,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013901/?format=api",
"text_counter": 28,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante Sana, Bw. Spika. Pia, mimi ningependa kujiunga na wenzangu, kuhusu swala hili la wale wanakandarasi ama wauzaji wa vyombo vidogo vidogo katika shule zetu. Bw. Spika, utaona ya kwamba malipo haya wanayopewa kutoka kwa Serikali ni duni sana ilhali wanakandarasi hawa hutia bidii yote wanayoweza kwa kile kidogo walichonacho kuweza kujifaa na pia kufanya biashara hii ya uuzaji wa bidhaa hizi kwa njia ngumu sana. Ni jambo la aibu kuona ya kwamba hivi leo baada ya hili janga la Korona kuweza kuliepuka - hata kama hatujaliepuka lote - ya kwamba, matokeo ya wakati huo mpaka The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}