GET /api/v0.1/hansard/entries/1013918/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1013918,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013918/?format=api",
    "text_counter": 45,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, nimesikia Sen. Madzayo akisema kwamba Rais wa kwanza alipea watu fulani mashamba kama zawadi lakini sidhani kuna jambo kama hilo kuwa watu walipewa shamba kama zawadi. Watu wengi wanaoishi katika mashamba hayo walinunua wakitumia hela zao na niko na ushahidi. Sijui fulani fulani ni kina nani. Watu wako na majina na hakuna fulani fulani. Kama ni kikundi cha watu, kinajulikana na hakuna haja ya mtu kusema watu fulani fulani ilhali anajua majina zzao Watu wengi katika sehemu nyingi za Kenya walinunua shamba yao na hawakupewa kama zawadi."
}