GET /api/v0.1/hansard/entries/1013924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1013924,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013924/?format=api",
"text_counter": 51,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, tunajua kuwa ni nia ya Serikali kuona kwamba kila Mkenya amepewa nafasi ya kuishi pahali pake. Watu wa Mswambweni ambao wameleta hii Petition hapa Seneti wasichukuliwe kana kwamba hao si Wakenya. Hawa ni Wakenya na wako na haki ya kuleta swala lolote ndani ya Bunge la Seneti. Ni matusi hadi saa hii kuwa wao walikuwa wanaketi ndani ya ardhi eka mia moja hamsini kuambiwa wachukue eka thelathini na tano. Kama kuna matusi ni mtu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}