GET /api/v0.1/hansard/entries/1013925/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1013925,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013925/?format=api",
"text_counter": 52,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "kukuambia ulikuwa na ardhi eka mia moja na hamsini na leo unaambiwa uchukue eka thelathini na tano na uende zako. Kudharauliwa inafaa kukoma ama ifike mwisho. Hili swala la ardhi ni swala chungu sana na si swala la kuchukuliwa mzaha jinsi Sen. Sakaja anasema mwambie aseme ni nani na nani walifurushwa. Anafaa kujua kila siku mimi huenda police station kutoa Waghiriama ambao wameshikwa na kuwekwa ndani. Wengine hushikwa na kufungiwa katika police cell na wengine wanatupwa katika yard za askari. Askari wa Kilifi hawana kazi yoyote saa hii isipokuwa kungoja service ya"
}