GET /api/v0.1/hansard/entries/1013927/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1013927,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013927/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "waende wakafukuze watu katika mashamba yao. Wakiambiwa kuna wezi mahali fulani wanasema gari haina mafuta ya kuenda huko. Lakini wakiambiwa ni kuenda kutoa Waghiriama pale ndani na kuwaweka watu wengine, hiyo nafasi ya kuenda uko na petrol inapatikana. Mimi naunga mkono Sen. Mwaruma vile amesema. Kamati ambayo itapewa jukumu hili, the StandingCommittee on Lands, Environment and Natural Resources ambayo inaongozwa na Sen. Mwangi, lazima ishurutishe kwamba watu Hao wapewe ardhi yao yote ya eka mia moja na hamsini. Asante, Bw. Spika."
}