GET /api/v0.1/hansard/entries/1013943/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1013943,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013943/?format=api",
"text_counter": 70,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, kanuni za Bunge hasituruhusu kusimama au kuingia hapa unapozungumza. Nimemuona ndugu yangu Sen. Linturi ambaye ni shemeji wangu kutoka Meru, akiingia ukiwa bado umesimama, akapita na kuketi. Amevunja moja ya kanuni za Bunge la Seneti. Ningeomba uchukue hatua mwafaka ya kumrekebisha Sen. Linturi ama aombe msamaha kwa kitendo chake hicho."
}